Tuesday, December 15, 2009

Rihanna akana Uzushi kuwa anatoka na actor Tristan Wilds




Rihanna simjui hata Tristan Wilds na namba yake ya simu sina
Sasa kama natoka nae siitakuwa ni utani sasa..Mimi RiRi sitaki hata uhusiano kwa sasa ni maisha mengine kweli na sipo tayari







0 comments: